1 Thessalonians 5:1-2

Kuweni Tayari Kwa Siku Ya Bwana

1 aBasi, ndugu, kwa habari ya nyakati na majira hatuna haja ya kuwaandikia, 2 bkwa kuwa mnajua vyema kwamba siku ya Bwana itakuja kama mwizi ajapo usiku.
Copyright information for SwhKC